KINGA YA MUISLAMU


ndoto1


 

ينفث عن يساره]  ثلاثاً]

[apulize kushotoni kwake mara tatu.]   

يستعيذ بالله من الشيطان ومن شر ما رأى ]     ثلاث مرات]

[Kisha atake (aombe) hifadhi kwa Mwenyezi Mungu  na alichokiota na kwa shetani mara tatu.]

[لا يحدث بها أحدا]

[Kisha hatakiwi kumzungumzia mtu]

[ يتحول عن جنبه الذي كان عليه ]

[Kisha asilalie ule upande au ubau aliyeootea, bali ageuke ubavu mwingine.]

[ يقوم يصلي إن أراد ذلك ]

[Atasimama kusali akitaka.]

[Imepokewa na Muslim.]


comments