KINGA YA MUISLAMU


 sijda ya kisomo


 

[{سجد وجهي للذي خلقه ، وشق سمعه وبصره بحوله وقوته  {فتبارك الله أحسن الخالقين] 

 الترمذي 2/474 وأحمد 6/30 والحاكم وصححه ووافقه الذهبي 1/ 220 والزيادة له 

 

[Umesujudu uso wangu kumsujudia  yule ambae ameuumba  na akapasuwa masikio yake, na macho yake, kwa uwezo wake na nguvu zake, (Ametukuka Mwenyezi Mungu  mbora wa waumbaji)]        [Imepokewa na Al-Tirmidhiy na Ahmad na Hakim na kuisahihisha]


[اللهم أكتب لي بها عندك أجراً ، وضع عني بها وزراً ، واجعلها لي عندك ذخراً ، وتقبلها مني كما تقبلتها من عبدك داود]

 الترمذي 2/473 والحاكم وصححه ووافقه الذهبي 1/ 219

 

[Ewe Mwenyezi Mungu  niandikie kwako kwa sijda hii malipo, na nifutie kwayo madhambi, na ijaalie kwangu mbele yako ni akiba, na nikubalie kama ulivyomkubalia mja wako Dawud]       [Imepokewa na Al-Tirmidhi na Hakim na akasahihisha na kuafikiwa na Al-Dhahabiy]


SIKILIZA DUA ZA SIJDA YA KISOMO


 


comments