Menu

KINGA YA MUISLAMU


 التكبير قبل الصلاة


 

[ سمع الله لمن حمده]      

  البخاري مع الفتح 2/ 282

[Mwenyezi Mungu Amemsikia mwenye kumsifu.]      [Imepokewa na Bukhari.]

 

[ ربنا ولك الحمد ، حمداً كثيراً طيباً مباركاً فيه ]    

البخاري مع الفتح 2/ 282

[Ee Bwana wetu ni zako sifa njema sifa nyingi, nzuri, zenye baraka.]      [Imepokewa na Bukhari.] 

 

ملء السموات وملء الأرض وما بينهما ، وملء ما شئت من شئ بعد .أهل الثناء والمجد،أحق ما قال العبد، وكلنا لك عبد ، اللهم لا مانع لما أعطيت ولا معطي لما منعت ولا ينفع ذا الجد منك الجد         مسلم 1/ 346  

[Zimejaa mbingu na zimejaa ardhi na vilivyomo ndani yake sifa Zako, na zimejaa (sifa Zako)  kwa ulichokitaka baada yake, Wewe ni mstahiki wa sifa na utukufu, ni kweli aliyoyasema mja Wako, na sote ni waja wako, Ee Allaah hapana  anaeweza kukizuia ulichokitoa, na wala kutoa ulichokizuia, na wala haumnufaishi mwenye utajiri, kwani kwao Wewe ndio utajiri.]       [Imepokewa na Muslim.]


SIKILIZA DUA YA KUINUKA KUTOKA KWENYE RUKUU



LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6576271
TodayToday111
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 3

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_682af0cc51d002871984391747644620
title_682af0cc51e2014025840711747644620
title_682af0cc51f093317586411747644620

NISHATI ZA OFISI

title_682af0cc53ad81112897641747644620
title_682af0cc53c6411884712271747644620
title_682af0cc53d7016695495481747644620 Add content here

HUDUMA MPYA

: 2 + 14 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com