KINGA YA MUISLAMU


 maxresdefault 37


 

[ بسم الله ، توكَّلْتُ على الله ، ولا حَوْلَ ولا قُوةَ إلا بالله]

       أبو داود 4/ 325 والترمذي 5/ 490 وانظر صحيح الترمذي3/ 151

[Kwa jina la Mwenyezi Mungu (ninatoka) ninamtegemea Mwenyezi Mungu,na hapana uwezo wala nguvu ila vyote vinatokana na Mungu.]     [Imepokewa na Abuu Daud na Al-Tirmidhiy].

 

 [اللهُمَ إني أعُوذُ بِكَ أن أَضِلَّ أوْ أُضَلَّ أَوْ أزِلَّ، أو أُزَلَّ، أوْ أظلِم أوْ أُظْلَم، أوْ أَجْهَلَ أوْ يُجْهَلَ عَلَيَّ]

     أهل السنن وانظر صحيح الترمذي 3/ 152 وصحيح ابن ماجه 2/ 336  

[Ewe Mwenyezi Mwenyezi Mungu najilinda kwako kutokamana na kupotea au kupoteza,au kuteleza au kumtelezesha mtu,au kudhulumu au kudhulumiwa,au kuwa mjinga au kufanywa mjinga.]   [Imepokewa na Al-Tirmidhiy na Ibnu Maajah na wengineo kwenye vitabu vya Hadithi.]


SIKILIZA DUA YA KUTOKA NYUMBANI



comments