SOMO LA FIQHI


 somo lafiqhi 


MAANA YA ISTIHADHA

Istihadha: Ni kutiririka damu kutoka kwenye tupu ya mwanamke ikawa haikomi kabisa au ikatike kwa kipindi kichache.

TOFAUTI BAINA YA DAMU YA HEDHI NA YA ISTIHADHA 

DAMU YA ISTIHADHA  DAMU YA HEDHI
Nyekundu nyepesi  Nyeusi nzito
Haina harufu Ina harufu mbaya yenye kuchukiza
Inaganda (inashikana) Haigandi (haishikani)
Inatoka kwenye kishipa cha uzao cha karibu Inatoka mwisho wa uzao
Damu ya kuashiria kasoro, ugonjwa na uharibikaji Damu ya afya na ya kawaida
Haina wakati maalumu

Inatoka wakati maalumu


comments