Menu

SOMO LA FIQHI


somo lafiqhi


KISIMAMO CHA MWANAMKE KATIKA SWALA

 

1. Wanaposwali wanawake kwa jamaa, lililo sunna ni asimame imamu wao kati ya safu yao na asiwatangulie.

2. Mwanamke husimama nyuma ya mwanamume iwapo mwanamume ni imamu wake. Na akiswali na wanaume basi atasimama nyuma ya safu.

3. Iwapo wanaume na wanawake wanaswali jamaa, sunna ni wawe nyuma ya wanaume. Na safu zao huwa ni kama safu za wanaume. Abu Hurairah Radhi za Allah ziwe juu yake amepokewa akisema kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu alisema:

وَخَيْرُ صُفُوفِ النِّسَاءِ آخِرُهَا وَشَرُّهَا أَوَّلُهَا]  والحديث رواه أحمد وأهل السنن الأربعة فهو حديث ثابت صحيح]

 

[Bora ya safu za wanawake ni zile zilizo nyuma ya safu, na shari ya safu za wanawake ni zile za mwanzo wake]   [Imepokewa na Ahmad na wengineo.]


LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6575030
TodayToday3097
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 29

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_682920522ecbf3412448801747525714
title_682920522ee042480342491747525714
title_682920522ef4012374600931747525714

NISHATI ZA OFISI

title_6829205230f7e10037581331747525714
title_68292052310a911315027741747525714
title_68292052311cf3535101861747525714 Add content here

HUDUMA MPYA

: 12 + 9 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com