SOMO LA FIQHI


somo lafiqhi


Nguzo za Umra
1. Kuhirimia:
kwa kauli ya Mtume :

 

[إِنَّمَا الْأَعْمَالُ بِالنِّيَّاتِ، وَإِنَّمَا لِكُلِّ امْرِئٍ مَا نَوَى ]   [رواه البخاري]

 

[Hakika matendo yanazingatiwa kwa nia, na hakika ni kwamba kila mtu atapata lile alilonuilia]   [Imepokewa na Bukhari.]

2. Kusai baina ya Swafaa na Marwah:
kwa kauli ya Mtume :

[اسْعَوْا؛ فَإِنَّ الله كَتَبَ عَلَيْكُمْ السَّعْيَ]    [رواه أحمد] 

 

[Fanyeni Sai, kwa kuwa Mwenyezi Mungu Amewafaradhia kusai]   [Imepokewa na Ahmad.]

3. Alkaaba:
kwa neno la Mwenyezi Mungu Aliyetukuka:

 

 وَلۡيَطَّوَّفُواْ بِٱلۡبَيۡتِ ٱلۡعَتِيقِ}   الحج: 29}

 

[Na waitufu Nyumba ya Zamani]   [22: 29]


comments