Menu

SOMO LA FIQHI


  somo lafiqhi


Suala: Ni nini Maana ya ihram (Kuhirimia)

Jawabu: Maana ya Ihram kilugha: Ni kuzuia

Ama maana ya Kuhirimia kisheria:

"Ni nia ya kuingia kwenye ibada ikifungamana na mojawapo ya matendo ya Hijja"

Na haifungamani Iharamu ila kwa nia, Mtu hahisabiwi kuwa amehirimia kwa kule kuazimia kwenda hijja au Umra kwa sababu toka aliposafiri mji wake huwa ameazimia kuhiji au kufanya umra, na wala hawi ni mwenye kuhirimia kwa kuvaa ihram au kuleta talbiya bila kutia nia ya ibada ya hijja kwa neno lake Mtume :

 

إنما الأعمال بالنيات وإنما لكل امرئ ما نوى]       متفق عليه]

 

[Hakika amali zote ni kwa nia na kila mtu hulipwa kama alivyo nuiya]   [Imepokewa na Bukhari na Muslim.].


LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6575143
TodayToday3210
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 5

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_682932331cce03025739241747530291
title_682932331cdc916520682031747530291
title_682932331ceb415912998501747530291

NISHATI ZA OFISI

title_682932331e4b76737236871747530291
title_682932331e59520598263671747530291
title_682932331e67c19928539461747530291 Add content here

HUDUMA MPYA

: 14 + 11 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com