Menu

SOMO LA FIQHI


SIKU YA 12


Siku ya Kumi na mbili na Usiku wake
Nilazima kualala minaa usiku wa siku ya kumi na mbili, na mchana wake jua litakapo pinduka atatupa vijiwe kwenye jamarati zote kama alivyo fanya siku ya kumi na moja.

Ikiwa atataka kufanya haraka kuondoka siku hii, basi akisha maliza kutupa ataondoka mina kabla ya kutwa jua, ikiwa jua litazama nayeye yuko minaa basi itamlazimu kulala mina na kulazimaka kutupa vijiwe siku ya kumi na tatu, nao nikuzidisha kheri kama alivyo sema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

 

{وَاذْكُرُوا اللَّهَ فِي أَيَّامٍ مَّعْدُودَاتٍ ۚ فَمَن تَعَجَّلَ فِي يَوْمَيْنِ فَلَا إِثْمَ عَلَيْهِ وَمَن تَأَخَّرَ فَلَا إِثْمَ عَلَيْهِ ۚ لِمَنِ اتَّقَىٰ ۗ وَاتَّقُوا اللَّهَ وَاعْلَمُوا أَنَّكُمْ إِلَيْهِ تُحْشَرُونَ}

 

[Na mtajeni Mwenyezi Mungu katika zile siku zinazo hisabiwa. Lakini mwenye kufanya haraka katika siku mbili (akarejea) si dhambi juu yake; na mwenye kukawia pia si dhambi juu yake, kwa mwenye kumchamngu. Na mcheni Mwenyezi Mungu, na jueni kwamba nyinyi mtakusanywa kwake.]  [Al-Baqara: 203]

Na makusudio kwa mwenye kufanya haraka siku mbili katika masiku ya Tashriiq ni siku ya kumi na moja na siku ya kumi na mbili, na mwenye kuchelewa ni akatimiza siku ya kumi natatu.


LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6575193
TodayToday3260
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 5

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_68293cce8f5ba6668875031747533006
title_68293cce8f67b11288179001747533006
title_68293cce8f75b20377165391747533006

NISHATI ZA OFISI

title_68293cce90d447505292931747533006
title_68293cce90e2c20874848111747533006
title_68293cce90f075659440761747533006 Add content here

HUDUMA MPYA

: 1 + 13 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com