NI LAZIMA APATIKANE SHAHIDI KWA ANAETAKA KUSILIMU?

 

SUALI: Je? Mtu anapotaka kusilimu huwa ni lazima ashuhudishe watu ?

JAWABU: Si lazima kwa mtu anapotaka kusilimu kuweka mashahidi juu ya kusilimu kwake,kwani mtu kusilimu huwa ni mafungamano kati ya mja na mola wake. Kwa hivyo huwa si lazima kushuhudisha watu. Na mwenyewe ataka kufanya hivyo kwa ajili ya kubadilisha stakabdhi zake hakuna ubaya wa kufanya hivyo.

 

Na Allah ndie Mjuzi zaidi.

comments