Menu

AR-RAHEEQ AL-MAKHTUM


MAKHTUUM 


Hawa ndio watu katika kundi ambalo linajulikana katika historia ya Uislamu kuwa ndio Waislamu wa mwanzo, wakiongozwa na mke wa Mtume ﷺ, mama wa waumini Bi Khadija binti Khuwailid,

kijana wake Zaid bin Haritha bin Sharahbiyl AI-Kafuy,

mtoto wa ammi yake Ali bin Abi Twalib, wakati huo akiwa bado mtoto mdogo akiishi katika ulezi wa Mtume ﷺ ,

na rafiki yake mpenzi Abubakar (r.a). Hawa walisilimu katika siku ya kwanza ya Da'wa kwa watu katika Dini.

Kwa hivyo wa Kwanza Aliesilimu katika wanaume ni Abubakar Swiddiq (r.a)

na katika Wanawake ni Bibi Khadija bint Khuwailid (r.a).

na katika watoto ni Ali bin Abi Twalib (r.a).

na katika vijakazi ni Zaid bin Harith (r.a).


* Ar-Raheeq Al Makhtum 119


 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6575394
TodayToday101
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 12

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_68297532af4102833445941747547442
title_68297532af4fa1145341371747547442
title_68297532af5db11216794871747547442

NISHATI ZA OFISI

title_68297532b0bd113682418491747547442
title_68297532b0cb75085649641747547442
title_68297532b0d9e20548923851747547442 Add content here

HUDUMA MPYA

: 1 + 15 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com