Menu

VITA VYA AL-FIJAR 


2013 6 12 17 30 39 113


Wakati Mtume alipofikisha umri wa miaka kumi na mitano vilitokea vita vya Al-Fijar kati ya Makuraishi na wale waliokuwa pamoja nao miongoni mwa Kinana, na Qais 'Ailan. Kiongozi wa Makuraishi na Kinana alikuwa ni Harb Bin Umayya, kwa sababu ya cheo chake kwao, kwa umri na utukufu. Ushindi ulikuwa ni wa Qais dhidi ya Kinana, mpaka ilipofika katikati ya mchana ushindi ulikuwa ni wa Kinana dhidi ya Qais. Vita hivi viliitwa kwa jina la Al-Fijar, kwa sababu ya kuvunjwa kwa mambo matukufu ya Al-Haram na miezi mitukufu. Vita hivi vilihudhuriwa na Mjumbe wa Mwenyezi Mungu na alikuwa akikusanya mikuki na mishale ya maadui na kuwapa ammi zake waitumie." 1*


1) Arraheeq Al Makhtum 89

* Mukhmear Siratu Rrasul, Uk. 16. Ibn Hisham, Juzuu 1, Uk. 180-183.


 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6575395
TodayToday102
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 9

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_68297532af4102833445941747547442
title_68297532af4fa1145341371747547442
title_68297532af5db11216794871747547442

NISHATI ZA OFISI

title_68297532b0bd113682418491747547442
title_68297532b0cb75085649641747547442
title_68297532b0d9e20548923851747547442 Add content here

HUDUMA MPYA

: 6 + 10 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com