KUPASULIWA KIFUA CHA MTUME ﷺ


kupasuliwa1 


Imamu Muslim amepokea kutoka kwa Anas radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu kuwa

 

عن أنس بن مالك رضي الله تعالى عنه أن النبي صلى ‏الله عليه وسلم أتاه جبريل وهو يلعب مع الغلمان فأخذه فصرعه فشق عن قلبه فاستخرج ‏القلب فاستخرج منه علقة فقال: هذا حظ الشيطان منك ثم غسله في طست من ذهب ‏بماء زمزم ثم لأمه ثم أعاده في مكانه، وجاء الغلمان يسعون إلى أمه - يعني ظئيره- فقالوا إن ‏محمداً قد قتل. فاستقبلوه وهو منتقع اللون. قال أنس: أرى أثر المخيط في صدره

 

[jibril alimwendea Mjumbe wa Mwenyezi Mungu ﷺ hali ya kuwa anacheza pamoja na Watoto Wengine, akamchukua ma kumlaza chali, kisha akakipasua'kifua chake na akautoa moyo,katika huo moya akatoa pande la damu °na kusema: 'Hili ni fungu la shetarii kwako.' Kisha akauosha kutokakatika tasa la dhahabu kwa maji ya Zamzam, akaufunga na kuurudisha mahali pake.: wakatoka watoto wakiwa wanakwenda mbio kwa mama yake - mlezi wake - wakamwambia: 'Hakika Muhammad ameuwawa; mara akatokea, wakampokea na hali ya kuwa amebadilika rangi.

Asema Anas nikiona athari ya mshono katika kifua chake.


 

comments